Darassa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Darassa
Remove ads

Shariff Thabit Ramadhan (maarufu zaidi kama Darassa[1]; amezaliwa tarehe 3 Septemba mwaka 1988) ni rapa kutoka Singida Tanzania, aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake Muziki alioutoa mwaka 2016 akishirikiana na Ben Pol.[2]

Ukweli wa haraka Taarifa za awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Kazi

Drasa alianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya muziki mwaka 2014 alipotoa wimbo Sikati Tamaa. Kisha akachukua mapumziko, alirejea tena mwaka 2016 na wimbo "Utanipenda" akimshirikisha Rich Mavoko pia alitoa wimbo akimshirikisha Ben Pol, wimbo ambao ulichezwa zaidi Afrika Mashariki.[3] Kwa mara nyingine Darassa alichukua mapumziko kabla ya kuibuka tena mwaka 2018 lakini pia darassa ameendelea kuwa msanii bora Tanzania na Afrika kiujumla.[4]

Remove ads

Diskografia

Albamu

  • 2020: Slave becomes a King

Nyimbo

  • Proud of you ft Ali Kiba
  • I like it[10] ft Sho Madjozi
  • Waiter ft Mr Burudani
  • Umeniroga ft Kassim Mganga
  • Nimetumwa Pesa
  • Loyalty ft Nandy & Marioo
  • Size yao ft Dogo Janja
  • Usiniletee shida ft Femi One
  • Blessings ft Abbah & Mr. T Touch
  • Hands Up ft Maua Sama
  • Lock me down ft Jaiva
  • My life ft Chibwa & Marisa
  • Utanitoa roho
  • Segedance ft Rich Mavoko
  • Shemeji ft Barakah The Prince
  • Hasso
  • Nikiondoka
  • Hater
  • Nana ft G Boy
  • Boss it ft Ben Pol
  • Darassa ft Marioo & Nand loyalty
  • Darassa & Harmonize mazoea
  • Darassa my time
  • Darassa ft shedy
Remove ads

Mafanikio

  • Darassa alishinda TMA mwaka 2021 katika kipengele cha Wimbo Bora wa Kushirikiana kupitia wimbo wake, Loyalty ambao amewashirikisha Marioo na Nandy.
  • Darassa ameibuka kidedea kwenye kipengele cha ‘East African Super Hit’ na wimbo wake wa Muziki ambao amemshirikisha Ben Pol.

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads