Hongo (nyoka)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hongo (nyoka)
Remove ads

Hongo au futa (kwa Kiing. mamba) ni nyoka wenye sumu wa jenasi Dendroaspis katika nusufamilia Elapinae (familia Elapidae). Spishi zote zinatokea Afrika tu.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Nyoka hawa huishi mitini, lakini futa hukaa chini. Huwinda wakati wa mchana na kukamata mamalia wadogo, ndege na mijusi. Hawa ni hatari sana kwa sababu sumu yao ni kali sana. Kuna liga za neva na za moyo ndani yake. Sumu ya futa ni kali zaidi kuliko ile ya spishi nyingine. Kwa hivyo nyoka huyu ni mgomvi zaidi. Sumu yake inaweza kuua mtu mzima ndani ya nusu saa.

Remove ads

Spishi

Picha

Marejeo

  • Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hongo (nyoka) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads