Denver, Colorado
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Denver ndiyo mji mkuu katika jimbo la Colorado. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1609 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Tazama pia
- Chuo Kikuu cha Denver
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Denver, Colorado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads