Dominiko wa Calzada
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dominiko wa Calzada (jina la kuzaliwa kwa Kihispania: Domingo Garcia; Burgos, Castilia Mpya, Hispania, 1019 hivi - Santo Domingo de la Calzada, Hispania, 12 Mei 1109[1]) alikuwa padri mkaapweke aliyehudumia kwa upendo hadi kifo chake waumini walioelekea Santiago de Compostela kwa hija ambao alikuwa amewajengea madaraja, barabara na vyumba vya kulala [2].

Kabla ya hapo alijaribu kujiunga na monasteri mbalimbali akakataliwa kwa sababu ya ulemavu wa viungo vyake na udogo wa akili yake[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads