Ebrulfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ebrulfi (pia: Ebrulf, Ebrulfo, Eberulfus, Ebrulfus, Ebrulphus, Evroldus, Évroult, Evroult, Evroul, Evrou, Yvrou; Bayeux, 517 - Exmes, 29 Desemba 596) alikuwa mmonaki, halafu mkaapweke na hatimaye abati wa monasteri ya Ouche, kaskazini mwa Ufaransa, wakati wa mfalme Kildabati, akaanzisha monasteri 15 kwa jumla.

Kabla ya hapo alikuwa afisa na mtu wa ndoa, lakini baadaye alikubaliana na mke wake aende kuishi msituni kati ya wanyama wakali na majambazi[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads