Egidi Maria wa Mt. Yosefu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Egidi Maria wa Mt.Yosefu (jina la awali: Francesco Antonio Domenico Pasquale Pontillo; Taranto, 16 Novemba 1729 - Napoli 7 Februari 1812) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka Italia Kusini.

Kila siku alikuwa akiombaomba kwa unyenyekevu msaada katika mitaa ya mji wa Napoli akirudisha maneno ya faraja kwa wote [1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II mwaka 1996. Kabla ya hapo alitangazwa mwenye heri na Papa Leo XIII mwaka 1888.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads