Ekembodo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ekembodo (alifariki Therouanne, Ufaransa wa leo, 742) alikuwa mmonaki, labda kutoka Ireland, aliyejiunga na monasteri ya Sithiu chini ya Bertino wa Sithieu akawa abati wake miaka 10 baadaye. Halafu alichaguliwa kuwa askofu wa Therouanne huo akaongoza jimbo hilo pana kwa miaka 26 bila kuacha uabati[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads