Erembati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erembati (Saint-Germain-en-Laye, Yvelines, Ufaransa, 610 hivi - Fontenelle, Seine-Maritime, 670 hivi) alikuwa kwa miaka kumi askofu wa Toulouse kabla ya kujiunga na monasteri alipofariki [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads