Erik IX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erik IX (kwa Kiswidi: Erik Jedvardsson; Erik den helige; Sankt Erik; 1120-1125 hivi - Uppsala, Uswidi, 18 Mei 1160) alikuwa mfalme wa Uswidi kuanzia mwaka 1156 hivi hadi kifo chake[1]. Ndiye wa kwanza katika ukoo wake wa kifalme uliotawala hadi mwaka 1250.

Aliongoza kwa busara na kutetea haki za wanawake.
Alijitahidi pia kuinjilisha Ufini, ambao wakazi wake walikuwa bado Wapagani, kwa kumtuma huko askofu Erik wa Ufini [2][3].
Hatimaye aliuawa akiwa anashiriki Misa[4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Walutheri[6] kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads