Fantino Mzee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fantino Mzee (Palmi, Calabria, 293 - Palmi, 336) alikuwa Mkristo wa Italia Kusini maarufu kwa miujiza yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, wa kwanza kutoka mkoa wake.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads