Filipo Evans
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Filipo Evans, S.J. (1645 - 22 Julai 1679) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Wales aliyeuawa na serikali ya mfalme Charles II wa Uingereza iliyokuwa imekataza Ukatoliki nchini. Alinyongwa pamoja na Yohane Lloyd kwa sababu ya kutoa huduma za kipadri kwao[1].

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1929 halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
