Yohane Lloyd

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yohane Lloyd
Remove ads

Yohane Lloyd (alifia dini karibu na Cardiff, 22 Julai 1679) alikuwa padri mwanajimbo kutoka Wales 1645 - 22 Julai 1679) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Wales aliyeuawa na serikali ya mfalme Charles II wa Uingereza iliyokuwa imekataza Ukatoliki nchini. Alinyongwa pamoja na Filipo Evans kwa sababu ya kutoa huduma za kipadri kwao [1].

Thumb
Bango linalotambulisha mahali pa kifodini chake na cha Filipo Evans.

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1929 halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads