Fransisko De Geronimo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fransisko De Geronimo
Remove ads

Fransisko De Geronimo, S.J. (Grottaglie, Puglia, 17 Desemba 1642Napoli, Campania, 11 Mei 1716) alikuwa padri wa Italia Kusini na mtawa wa Shirika la Yesu maarufu kwa mahubiri yake aliyoyatoa sehemu nyingi na kwa uchungaji wake kati ya watu maskini[1] [2][3][4]

Thumb
Mchoro wake wa kale zaidi na uso wake katika nta siku ya kufa.

Alitangazwa mwenyeheri na Papa Pius VII mwaka 1806, halafu mtakatifu na Papa Gregori XVI mwaka 1839.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[5].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Marejeo ya lugha nyingine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads