Fransisko Serrano

Mdominika wa Uhispania, mmisionari, mfia imani, mtakatifu wa Kikatoliki From Wikipedia, the free encyclopedia

Fransisko Serrano
Remove ads

Fransisko Serrano, O.P. (Hueneja, 4 Desemba 1695Fuzhou, 25 Oktoba 1748) alikuwa askofu mteule kutoka Hispania aliyefanya umisionari barani Asia akauawa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo pamoja na mapadri Wadominiko wenzake Yohakim Royo, Yohane Alcober na Fransisko Diaz.[1][2]

Thumb
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads