Gemma Galgani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gemma Galgani ni jina fupi la Maria Gemma Umberta Pia Galgani (Borgo Nuovo, Camigliano, 12 Machi 1878 - Lucca 11 Aprili 1903), msichana mlei wa Italia aliyejitokeza kama Mkristo bora mwenye karama za pekee.[1] Ameitwa Binti wa Mateso kwa jinsi alivyoshiriki yale ya Yesu kwa kuyazamia na kwa kustahimili maumivu yake mwenyewe katika ubikira kamili.[2][3]


Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 1933 halafu mtakatifu tarehe 2 Mei 1940.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads