Gilda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gilda (kwa Kibretoni: Gweltaz; Britania Kusini, karne ya 5 - Houat, Bretagne, leo nchini Ufaransa, 570 hivi) alikuwa mmonaki nchini kwake, halafu padri mmisionari katika sehemu mbalimbali za visiwa vya Britania na huko Bretagne alipoanzisha monasteri [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads