Kibretoni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kibretoni
Remove ads

Kibretoni (kwa lugha hiyo: Brezhoneg) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya ambalo limerudi nyuma sana tangu zamani za Roma ya Kale lilipokuwa linatumika katika eneo kubwa sana la Ulaya hadi Uturuki wa leo.

Thumb
Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Kibretoni pia ni hai bado, lakini katika hatari ya kutoweka.

Wanaoijua ni watu 226,000 hivi, hasa katika rasi ya Bretagne, kaskazini magharibi wa Ufaransa.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads