Gisleno
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gisleno (alifariki Ursidongus, leo Saint-Ghislain, nchini Ubelgiji, 9 Oktoba 680) alikuwa mkaapweke katika chumba alichojijengea, lakini kwanza padri aliyefanya umisionari sehemu mbalimbali, akitokea labda Ugiriki[1] au Ujerumani.

Alielekeza monasterini Aldegunda, Aldetruda na Madelberta wa Maubege.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki an Waorthodoksi tarehe 9 Oktoba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads