Surat

From Wikipedia, the free encyclopedia

Suratmap
Remove ads

Surat ni mji wa Jimbo la Gujarat nchini Uhindi. Uko kwenye kingo za mto Tapti, karibu na mdomo wake katika Bahari Hindi. Hivyo ilikuwa bandari muhimu lakini siku hizi maji yake hayana kina cha kutosha kwa meli kubwa. Ni jiji lenye wakazi milioni 4.5 lenyewe, na milioni 6 katika rundiko la mji. Ni mji mkubwa wa nane nchini Uhindi.

Ukweli wa haraka
Remove ads

Tanbihi

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads