Gumbati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gumbati, O.S.B. (kwa Kijerumani: Guntbert, Kunibert; alifariki Ansbach, leo nchini Ujerumani, 11 Machi 795) alikuwa kijana wa ukoo bora ambaye, kwa uongozi wa askofu Burkado wa Wurzburg, mwaka 748 hivi alitawa na kuanzisha monasteri aliyoiongoza kama abati hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa kuwa mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads