Guntram

From Wikipedia, the free encyclopedia

Guntram
Remove ads

Guntram (pia: Gontran, Gontram, Guntram, Gunthram, Gunthchramn, Guntramnus; Soissons, Aisne, leo nchini Ufaransa, 532 hivi - Chalon-sur-Saône, leo nchini Ufaransa, 28 Machi 592) alikuwa mfalme wa Wafaranki huko Orleans na Burgundy tangu mwaka 561[1][2].

Thumb
Mchoro mdogo wa Mt. Guntram na Kildebert II.

Alikuwa na tabia mbaya na kutenda dhambi nyingi, lakini imani ilimuongoza kuheshimu Kanisa na viongozi wake, kujenga monasteri na kuhamasisha uinjilishaji, kupatanisha ndugu zake[3], kusaidia maskini na kuwaombea kwa kufunga mwenyewe[4].

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Machi[5].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads