Ignas wa Santhià
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ignas wa Santhià (jina la awali: Lorenzo Maurizio Belvisotti; 5 Juni 1686 - 22 Septemba 1770) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Alikuwa na bidii kubwa kupokea maungamo ya wakosefu na kuhudumia wagonjwa[1].

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Aprili 1966, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Mei 2002.
Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 22 Septemba, iliyokuwa siku ya kifo chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads