Jimbo la Imo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo la Imo ni moja ya majimbo 36 ya Nigeria na liko kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi, na Owerri ukiwa mji mkuu na mji mkubwa.


Remove ads
Historia
Jimbo la Imo liliundwa mwaka wa 1976 pamoja na majimbo mengine mapya yaliyoanzishwa chini ya uongozi wa mtawala wa kijeshi wa Nigeria, Murtala Muhammad, hapo awali likiwa sehemu ya Jimbo la Mashariki ya Kati.
Jina la Jimbo linatokana na jina la Mto Imo [3] Jimbo lilimegwa mwaka wa 1991 na kuunda Jimbo la Abia, na sehemu nyingine ikabakia Jimbo la Ebonyi.
Jiografia na maliasili
Mto Orashi una chanzo katika jimbo hili.
Mbali na Owerri, miji mikubwa ya Jimbo la Imo ni Isu, Okigwe, Oguta, Orlu, Mbaise, Mbieri, Orodo na Orsu.
Jimbo hili ni tajiri kwa mafuta yasiyosafishwa, gesi asilia na ardhi yenye rutuba kwa kilimo.
Lugha rasmi
Mbali ya Kiingereza, lugha ya mitaa ni Kiigbo na Ukristo ndio dini ya wengi.
Serikali za Mitaa
Jimbo la Imo linajumuisha Maeneo ya Serikali za Mitaa ishirini na saba:
|
|
|
Remove ads
Takwimu za watu
Imo ni jimbo haswa la waongeaji wa lugha ya Kiigbo, Waigbo wakijumuisha 98% Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine. ya watu wote.
Watu mashuhuri
Watu mashuhuri kutoka jimbo hili ni pamoja na:
- Leo Stan Ekeh - Founder and CEO of Zinox Technologies
- Obianuju Catherine Acholonu - Critically Acclaimed Author
- Adiele Afigbo - Distinguished Historian
- Michael Echeruo - Academic, Writer, Igbo Studies
- Pats Acholonu - Supreme Court Justice
- Emmanuel Iwuanyanwu - Politician and Businessman
- Dr. Mrs. Kema Chikwe - Former Minister of Aviation
- K. O. Mbadiwe - Former Minister of Commerce and Industry
- Evan Enwerem - Former governor and former President of the Senate
- Sam Mbakwe - Former Governor
- Simeon Ekpe - Former Chief Judge
- Sylvester Ugoh - Former Minister of Science and Technology
- Christina Anyanwu - Journalist and Senator
- Genevieve Nnaji - Nollywood Actress
- Collins E. Ijoma - The first youngest U.S. Trial Court Administrator
- Onyeka Onwenu - Singer and Actress
- Dr Sir Warrior - Highlife Musician
- Chioma Ajunwa - 1996 Olympic Gold Medalist
- Ikeoha I. Iwuh - Academic, Writer, Psychology Studies
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads