Jimbo Kuu la Nairobi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo Kuu la Nairobi (kwa Kilatini Archidioecesis Nairobien(sis)) ni jimbo kuu la kanda ya Kanisa Katoliki ya Nairobi nchini Kenya.
Kanisa kuu la jimbo ni Basilika ndogo ya Familia Takatifu huko Nairobi.
Askofu mkuu ni kardinali John Njue. Askofu msaidizi wake ni David Kamau Ng'ang'a.
Remove ads
Historia
Kuanzishwa kwa Apostolic Prefecture ya Zanguebar kutokana na Jimbo Katoliki la Saint-Denis-de-La Réunion katika kisiwa cha Réunion
Kupandishwa cheo kuwa Apostolic Vicariate ya Zanguebar
- 1887:
Kubadilishwa jina kuwa Apostolic Vicariate ya Northern Zanguebar
Kubadilishwa jina kuwa Apostolic Vicariate ya Zanzibar
Kuanzishwa kwa jimbo kuu la Nairobi
Remove ads
Uongozi
Majimbo yaliyo chini yake
Takwimu
Eneo la jimbo lina kilometa mraba 3,271, ambapo kati ya wakazi 5,364,541, Wakatoliki ni 2,995,277 (55.8%) katika parokia 110.
Wanahudumiwa na mapadri 638 (178 wanajimbo na 460 watawa), mbali ya mabruda 1,329 na masista 1,792.
Viungo vya nje
- Giga-Catholic Information
- Catholic Hierarchy
- Tovuti ya Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya
- Hati Quae catholicae Ilihifadhiwa 13 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine., AAS 21 (1929), uk. 656
- Hati Quemadmodum ad Nos, AAS 45 (1953), uk. 705
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Nairobi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads