Johannes Brahms
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Johannes Brahms (7 Mei 1833 Hamburg - 3 Aprili 1897 Vienna) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ujerumani. Alizaliwa katika familia ya wanamuziki alianza kutunga muziki kwa ajili ya piano. Baadaye aliendelea kutunga simfonia 4 halafu muziki ndogondogo.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Nje ya kutunga muziki alipiga piano na watu walipenda kumsikiliza.
Remove ads
Marejeo
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johannes Brahms kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads