Richard Wagner

From Wikipedia, the free encyclopedia

Richard Wagner
Remove ads

Richard Wagner (Leipzig, Ujerumani, 22 Mei 1813 - Venezia, Italia, 13 Februari 1883) alikuwa mtunzi wa sanaa mbalimbali za muziki na michezo (opera) kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa miziki ya mapenzi kwa kipindi cha karne ya 18-19. Mbali na miziki aliyotunga akiwa kama mwanafunzi vilevile ameandika tunzi kumi tofauti za sanaa mbalimbali (opera) ambazo leo hii zinatumika katika majumba ya sanaa duniani.

Thumb
Richard Wagner.
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Ukweli wa haraka
Ukweli wa haraka

Sanaa mbalimbali (Operas)

Tungo

Picha

Mabao

Mengineyo

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Wagner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads