Franz Liszt

From Wikipedia, the free encyclopedia

Franz Liszt
Remove ads

Franz Liszt (22 Oktoba 181131 Julai 1886) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigakinanda mashuhuri kutoka nchini Hungaria.

Thumb
Franz Liszt mwaka 1858.

Amefahamika sana kwa ujuzi wake wa upigaji kinanda kwa haraka zaidi na kuwa na maarifa ya juu katika fani hiyo.

Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, tena mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Viungo vya nje

Nakala za muziki wake

Rekodi zake

Kazi za fasihi

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franz Liszt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads