Kaisari wa Bus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaisari wa Bus (Cavaillon, leo nchini Ufaransa, 3 Februari 1544 – Avignon, Provence, 15 Aprili 1607) alikuwa padri mwanajimbo wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika mawili ya kitawa yamsaidie kuhubiri na kufundisha imani, ingawa hapo awali alikuwa askari akaishi pia maisha ya anasa[1].

Alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 27 Aprili 1975[2] , halafu na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads