Kaletriki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaletriki (pia: Caletricus, Chaletricus, Chalactericus, Caltry, Calais; 535 hivi - 573 hivi) alikuwa askofu wa 17 wa Chartres, leo nchini Ufaransa, baada ya Leobini [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads