Kaole

Makazi ya zama za kati za waswahili From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kaole ni mji mdogo na wa kihistoria unaopatikana katika ufukwe wa bahari ya Hindi, umbali wa maili tatu tu toka Bagamoyo.

Historia

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi. Hivyo ni sehemu ya kihistoria tangu mwanzoni mwa karne ya 13 mpaka karne ya 16.

Mji huu una mabaki, mawe ya zamani, magofu na vitu vingi vya kale. Kunapatikana mabaki ya msikiti wa kale na makaburi 30. [1] Makaburi haya yamejengwa kwa Matumbawe

Picha

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads