Kaprasi wa Lerins
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaprasi wa Lerins (alifariki Lerins, Provence, Ufaransa, 430) alikuwa mkaapweke wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha monasteri katika kisiwa kidogo kisichokaliwa na watu kati ya visiwa vya Lerins pamoja na Honorati wa Arles[1] ili kufuata mifano ya Mababu wa jangwani kadiri ya kanuni ya Pakomi[2][3][4].


Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads