Kasilda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kasilda (Toledo, Hispania, 950 - Briviesca, Hispania, 1050[1]) alikuwa bikira Mwislamu, binti Yahya ibn Ismail al-Mamun, mfalme wa Toledo.

Baada ya kuzoea kuwasaidia kwa huruma Wakristo waliofungwa gerezani[2] , alibatizwa huko Burgos akaishi kama mkaapweke hadi mwisho wa maisha yake marefu[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads