Kibajuni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kibajuni (pia kinajulikana kama Kitikuu au Kitikulu) ni lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa na watu wanaojulikana kama Wabajuni wanaomiliki sehemu ya eneo la visiwa vya Bajuni na eneo la pwani ya Kenya, pamoja na baadhi ya maeneo ya kusini mwa Somalia yanayojumuiisha makundi machache ya makabila mbalimbali.[1][2]
Maho (2009) anaichukulia Kibajuni kama lugha ya pekee, lakini Nurse pamoja na Hinnebusch (1993) wameichukulia kama lahaja ya kaskazini mwa eneo la Waswahili.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads