Wabajuni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wabajuni ni kabila la watu wanaoishi hasa katika visiwa vya Bajuni na sehemu za pwani za jirani upande wa bara kati ya Kismayo (Somalia) na Mombasa (Kenya)[1][2].

Ukweli wa haraka Lugha, Makundi yaliyo karibu kiukoo au kiutamaduni ...

Asili yao ni mchanganyiko wa Wakhoisan na Wabantu, lakini pia Waarabu, Waajemi, Wasomali[1] na hata Waindonesia.[3]

Lugha yao ni Kibajuni, lahaja ya Kiswahili.

Upande wa dini ni Waislamu[4].

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads