Kimya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kimya
Remove ads

Kimya ni hali ya kukosa sauti yoyote au kama ipo si ya kuvuruga nafsi. Ingawa kinaweza kuonekana kinyume cha mawasiliano, kinaweza kikawa na ujumbe wake (mzuri au mbaya) ulio muhimu kwa wengine.[1] Ndiyo sababu kinatumika katika taratibu mbalimbali, kama vile za ibada au za kukumbuka marehemu.

Thumb
Mchoro wa Kikopti, karne ya 8, National Museum in Warsaw, Polandi.
Thumb
Kirkuk, Iraq: askari wa Marekani wakiwa wameinamisha vichwa vyao kutafakari kwa dakika ya kimya juu ya matukio ya ugaidi ya tarehe 11 Septemba 2001.

Vilevile, katikati ya hotuba, kimya kinaweza kuchangia utoaji na upokeaji wa maneno.

Kimya kinasaidia kutafakari, hivyo kinazingatiwa hasa katika monasteri, ambapo kinaratibiwa kwa makini ili kimya cha nje kichangie kimya cha ndani, yaani utulivu wa moyo mbele ya Mungu.[2][3]

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads