Kithai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kithai ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya nchini Thailand pamoja na kuwa lugha mama ya Wathai, kundi kubwa la watu nchini Thailand.

Karibu watu milioni 70/75 wanazungumza lugha hiyo[1].
Ni lugha muhimu zaidi kati ya lugha za Kithai, ambazo zinaunda tawi la lugha za Kra-Dai.
Alfabeti
Alfabeti ya Kithai ina herufi 44. ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ
Lugha ya Kithai ina tarakimu zake za pekee pia: ๑ 1 ๒ 2 ๓ 3 ๔ 4 ๕ 5 ๖ 6 ๗ 7 ๘ 8 ๙ 9 ๐ 0
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads