Klaudio wa Colombiere
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Klaudio wa Colombiere (kwa Kifaransa Claude de la Colombière; Saint-Symphorien-d'Ozon, Dauphiné, leo nchini Ufaransa, 2 Februari 1641 - Paray-le-Monial, Ufaransa, 15 Februari 1682) alikuwa padri wa Shirika la Yesu aliyepata umaarufu kwa uongozi wa kiroho na maandishi vilivyosaidia wengi kulenga utakatifu, akiwemo Margareta Maria Alacoque[1].

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 16 Juni 1929, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 31 Mei 1992.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads