Margareta Maria Alacoque
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Margareta Maria Alacoque (L'Hautecour, Burgundy, Ufaransa, 22 Julai 1647 – Paray-le-Monial, karibu na Autun, Ufaransa, 17 Oktoba 1690) alikuwa bikira mmonaki wa shirika la Ziara ya Bikira Maria aliyefuata vizuri ajabu njia ya ukamilifu akapata umaarufu kama mwanasala mwenye njozi.

Kufuatana nazo alieneza sana ibada kwa Moyo mtakatifu wa Yesu aliyoizingatia kwanza mwenyewe [1].
Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1864, halafu Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
