Kristos Samra

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kristos Samra
Remove ads

Kristos Samra (kwa Ge'ez: ክርስቶስ፡ሠምራ, Krəstos Śämra, yaani “Kristo anapendezwa naye"; aliishi katika karne ya 15[1][2] ) alikuwa mwanamke wa Ethiopia aliyeanzisha monasteri ya Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia[3] baada ya kuishi katika ndoa na kuzaa watoto kumi.

Thumb
Mabawa ni ishara ya utakatifu wake.

Ni kati ya watakatifu zaidi ya 200 wazawa wa Ethiopia[4] na kati ya wale wa kwanza katika wanawake 14.[5]

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa lake kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Agosti.

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads