Majimbo ya Ujerumani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Majimbo ya Ujerumani ni sehemu zinazounda Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.
Tangu mwaka 1990 ambapo maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani (1949 hadi 1990, ilijulikana pia kama Ujerumani wa Mashariki) yalijiunga na shirikisho kuna majimbo 16.
Majimbo hujitawala katika mambo mbalimbali kulingana na katiba ya Ujerumani.
Kila jimbo lina katiba yake, serikali, bunge na mahakama kulingana na mgawanyo wa madaraka.
Mabunge ya majimbo huchagua wawakilishi katika Bundesrat (Halmashauri ya Jamhuri ya Shirikisho) ambayo ni kitengo cha bunge la kitaifa pamoja na Bundestag.
Remove ads
Majimbo
Namba | Jimbo | Kijerumani | IPA | Kifupisho | Mji mkuu | Ramani |
1. | ![]() |
Baden-Württemberg | ![]() |
BW | Stuttgart | ![]() |
2. | ![]() |
Bayern | ![]() |
BY | München | |
3. | ![]() |
Berlin | ![]() |
BE | Berlin | |
4. | ![]() |
Brandenburg | ![]() |
BB | Potsdam | |
5. | ![]() |
Bremen | ![]() |
HB | Bremen | |
6. | ![]() |
Hamburg | HH | Hamburg | ||
7. | ![]() |
Hessen | HE | Wiesbaden | ||
8. | ![]() |
Mecklenburg-Vorpommern | ![]() |
MV | Schwerin | |
9. | ![]() |
Niedersachsen | NI | Hannover | ||
10. | ![]() |
Nordrhein-Westfalen | ![]() |
NW | Düsseldorf | |
11. | ![]() |
Rheinland-Pfalz | RP | Mainz | ||
12. | ![]() |
Saarland | SL | Saarbrücken | ||
13. | ![]() |
Sachsen | SN | Dresden | ||
14. | ![]() |
Sachsen-Anhalt | SA | Magdeburg | ||
15. | ![]() |
Schleswig-Holstein | ![]() |
SH | Kiel | |
16. | ![]() |
Thüringen | ![]() |
TH | Erfurt |
Remove ads
Angalia pia
- Wilaya za Ujerumani
- Orodha ya miji ya Ujerumani
Viungo vya nje
![]() | |
---|---|
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Majimbo ya Ujerumani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads