Mecklenburg-Pomerini Magharibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Kijerumani: Mecklenburg-Vorpommern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,652 kwenye eneo la 23.180 km². Mji mkuu ni Schwerin. Waziri mkuu ni Erwin Sellering (SPD).




Jina
Jimbo hili linaunganisha eneo la Mecklenburg ya kihistoria na sehemu za jimbo la Kijerumani la awali yaani Pomerini zilizobaki upande wa Ujerumani baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia ambako maeneo makubwa katika mashariki yalitengwa na Ujerumani na kupelekwa Poland.
Jiografia
Mecklenburg-Pomerini Magharibi imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Schleswig-Holstein, Saksonia Chini na Brandenburg.
Picha za Mecklenburg-Pomerini
- Boma la Schwerin
- kisiwa cha Rügen
- kisiwa cha Usedom
Tovuti za Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mecklenburg-Pomerini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads