Saar

From Wikipedia, the free encyclopedia

Saar
Remove ads

Saar (Kijerumani: Saarland) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni Saarbrücken. Waziri mkuu ni Annegret Kramp-Karrenbauer (CDU).

Thumb
Mto Saar, Saarland
Thumb
Mahali pa Saar katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Saar

Jiografia

Saarland imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine-Palatino.

Miji mikubwa ni pamoja na Saarbrücken na Saarlouis.

Mto Saar na Mosel ni mito muhimu zaidi.

Picha za Thuringia

Tovuti za Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads