Laurenti Giustiniani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Laurenti Giustiniani, C.R.S.A. (Venezia, leo nchini Italia, 1 Julai 1381 – Venezia, 8 Januari 1456), alikuwa kwanza mkanoni[1], halafu askofu wa Venezia, wa kwanza mwenye cheo cha Patriarki.

Maandishi yake, yakiwemo ya hotuba, barua na maisha ya kiroho, yamechapwa upya mara nyingi.
Papa Klementi VII alimtangaza mwenye heri mwaka 1524 na Papa Alexander VIII mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.
Remove ads
Picha
- Kitabu chake De disciplina et perfectione monastica conversationis.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads