Leoluka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Leoluka[1] (kutoka jina la ubatizo: Leo, na jina la kitawa: Luka; Corleone, Sicilia, 815 hivi - Vibo Valentia, Calabria, 915 hivi[2]) alikuwa mmonaki, padri na hatimaye abati, lakini pengine mkaapweke pia, wa Ukristo wa Mashariki[3] katika Italia ya leo[4].

Masalia yake yamepatikana tena mwaka 2006[5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[6] kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads