Maglori

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maglori
Remove ads

Maglori[1] (Vannes, leo nchini Ufaransa, 535 - 575 hivi) alikuwa mmonaki wa Bretagne aliyelelewa na Iltudi huko Welisi [2]. Kisha kurudi Bretagne akawa huko askofu wa Dol[3], lakini, akitamani upweke, aliacha jimbo akaanzisha monasteri karika kisiwa cha Sark [4][5].

Thumb
Mt. Maglori alivyochorwa na Eugène Goyet (1798–1846), Église Saint-Jacques-du-Haut-Pas, Paris, Ufaransa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[6].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads