Makumbusho ya Wasukuma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania.[1]

Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka 1968[2] kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma [3]
Msingi wa hifadhi ya Bujora uliwekwa katika miaka ya 1950 na Padri David Clement wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) kutoka nchini Kanada. Malengo yake yalikuwa kuunganisha utamaduni wa Kisukuma na Ukristo, maarufu kama utamadunisho (kwa Kiingereza "inculturation").[4][5]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads