Manitoba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Manitoba
Remove ads

Manitoba ni jimbo la Kanada upande wa Ghuba ya Hudson. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1870.

Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Thumb
Winnipeg Manitoba

Una eneo la km² 647,797. Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 1,213,815.

Jimbo limepakana na Nunavut, Ontario, North Dakota, Minnesota na Saskatchewan.

Maziwa makubwa ni Ziwa Winnipeg, Ziwa Manitoba na Ziwa Winnipegosis. Kuna maziwa takriban 110,000 jimboni.

Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa.

Mji mkuu na mkubwa ni Winnipeg.

Remove ads

Miji Mikubwa

  1. Winnipeg (619,544)
  2. Brendon (39,716)
  3. Thompson (13,254)
Thumb
Chamchela katika Elie, Manitoba, 22 Juni 2007

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manitoba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads