North Dakota

From Wikipedia, the free encyclopedia

North Dakota
Remove ads

North Dakota (Dakota Kaskazini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi.

Thumb
Sehemu ya Jimbo la North Dakota
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...

Imepakana na Kanada (Saskatchewan na Manitoba), Minnesota, South Dakota (Dakota Kusini) na Montana.

Jimbo lina wakazi wapatao 641,481 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 183,272.

Mji mkuu ni Bismarck na mji mkubwa ni Fargo.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

Thumb
Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu North Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads