Maria Rivier
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Rivier (19 Desemba 1768 – 3 Februari 1838) alikuwa bikira wa Ufaransa aliyeanzisha shirika la “Masista wa Maria Kutolewa Hekaluni" kwa ajili ya kuhudumia watoto, hasa yatima, kupata malezi ya kufaa[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 23 Mei 1982, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads