Matabeleland Kusini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Matabeleland Kusini ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kusini wa Bulawayo.

Una eneo la kilometa mraba 54,172 na wakazi 760,000 (2022)[1].
Makao makuu yako Gwanda.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads